MICHEZO

Jurgen Klopp Awajia Juu Wanao Isimanga Liverpool!

on

Baada ya club ya Liverpool kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu England kwa mwaka 29 ni wazi sasa inaelekea mwaka wa 30 bila kutwaa taji hilo, hivyo presha imekuwa kubwa kwa mashabiki wa Liverpool na kutaka kuona timu yao inatwaa taji hilo ambalo wamelikosa kwa muda mrefu.

Liverpool pamoja na kuwa wapo katika fainali ya UEFA Champions League na watacheza na Tottenham Hotspurs June 1 2019, bado wanashauku ya kutaka taji la EPL kuliko la Champions League ambalo ni kubwa zaidi ya EPL ila kutokana na hawajatwaa taji hilo kwa muda mrefu.

Baada ya kuwa wanaenda mwaka wa 30 pasipokutwaa taji hilo kocha wao Jurgen Kloppkaongea kuhusiana na wale wanaowabeza kuwa mwaka wa 30 bila taji Watu watatwambia kuwa miaka 30 toka Liverpool itwae Ligi Kuu kwa mara ya mwisho lakini wao kiukweli wana matatizo makubwa watu wote watakaosema hivyo”

dtb fc vs top boys Timu zote zikiiingia uwanjani

TOA MAONI YAKO HAPA