BURUDANI

TID Awawakia Mapromota Bongo.

on

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Khalid Mohamed alimaarufu TID amefunguka mengi kuhusu muziki wa bongo Fleva hasa akidai wasanii wa Tanzania wanaowaiga wasanii wa Nigeria hali ya kuwa kwenye malipo wanashindwa bila c yeyote. Akiongea na Bongo5 TID alifunguka hayo hasa akiwalaumu waandaaji wa show Tanzania kuwa wanawalipa wasanii wa nje hasa Nigeria dau kubwa kwa lipi..? kwa vocal gani..? ambazo yeye hana.

 

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you