MICHEZO

Kuelekea Mechi Ya Leo Kikosi Cha Simba vs TP Mazembe Kufanyiwa Mabadiliko Patrick Aussems ‘Uchebe’ Afunguka , Ni Jasho Na Damu Lubumbashi

on

Kocha Patrick Aussems amesema kwa maandalizi ambayo wameyafanya kikosi kipo tayari kupata matokeo kwenye mchezo wa leo dhidi ya TP Mazembe.

Kocha Patrick Aussems amesema kwa maandalizi ambayo ameyafanya kikosi kipo tayari kupata matokeo kwenye mchezo wa kesho dhidi ya TP Mazembe.

Amesema kutakuwa na mabadiliko kadhaa ya kiufundi ambayo yatasaidia kuimarisha kikosi ili kifanye vizuri zaidi. #CAFCL #NguvuMoja

Amesema kutakuwa na mabadiliko kadhaa ya kiufundi ambayo yatasaidia kuimarisha kikosi ili kifanye vizuri zaidi.

Simba ilitoka sare tasa ya bila kufungana kwenye mchezo wao wa hapa nyumbani dhidi ya TP Mazembe hivyo italazimika kucheza mchezo wa kushambulia huku wakijilinda kuhakikisha wanatoka na ushind

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you