HABARI ZA MASTAR

TANZIA: Msanii Wa BongoFreva Rapper Godzilla Aaga Dunia!

on

TANZIA: Tasnia ya Bongo Fleva imepata pigo baada kuondokewa na Rapa maarufu nchini, Godzilla ambaye amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano, Februari 13, 2019 akiwa nyumbani kwao, maeneo ya Salasala, Dar es Salaam.

Mwili umepelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Mwenge.
Endelea kifuatilia taarifa zetu. #Pumzika Kwa Amani Godzilla

EXTR NEWS: SONGWE YAZINDUA MFUKO MPYA WA BIMA

TOA MAONI YAKO HAPA