BURUDANI

WizKid Kujitengenezea Rekodi Nyingine Kubwa Kama Msani Kutoka Afrika ,Hapata Shavu La Kupiga Show Na Wasanii Wakubwa Marekani

on

Superstar kutokea Nigeria Wizkid anazidi kufanya maajabu kwa kulitambulisha vizuri Bara la Afrika na safari hii atatumbuiza katika matamasha mawili tofauti nchini Marekaniakiwa na wasanii wakubwa.

upitiaSuperstar kutokea Nigeria Wizkid anazidi kufanya maajabu kwa kulitambulisha vizuri Bara la Afrika na safari hii atatumbuiza katika matamasha mawili tofauti nchini Marekaniakiwa na wasanii wakubwa.Kupitia matamasha hayo aliyoyaweka katika ukurasa wake wa instagram, Wizkid ataanza na tamasha la ‘The Endes Festival’ litakalofanyika May 31,2019 mpaka June 2,2019ambapo atakuwa akitumbuiza kwenye jukwaa moja na Damian Marley pamoja na Rapper Nas huku list nyingine ikielezwa kutajwa.

Tamasha lingine ambalo Wizkid atatumbuiza ni ‘Amsterdam Urban Pop Music Festival’litakalofanyika June 29,2019 katika uwanja wa Arena Park, Amsterdam na ataungana na rapper Meek Mill, Tory Lane, Lil Baby, Jacques na wengine wengi.

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you