BURUDANI

Ukitaka Daftari Lenye Mistari Ya Ngoma Za Drake Andaa Tshs Mil.75

on

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kuwa daftari ambalo Drake alikuwa akilitumia kuandika mistari ya ngoma zake tokea mwaka 2002 mpaka 2005 tayari limewekwa sokoni kwaajili ya kuuzika.

Inaripotiwa kuwa Kampuni ya Moments in Time itauza daftari hilo kwa thamani ya Dollar 32,500 za Kimarekani sawa na zaidi ya shillingi Milioni 75 za Kitanzania huku ikielezwa kuwa daftari hilo liliokotwa kwenye shimo la taka karibu na kiwanda alichokuwa akifanyia kazi babu yake Drake mjini Toronto Canada.

Daftari hilo linatajwa kuwa na jumla ya kurasa 20-26 iliyojaa verses na baadhi ya nyimbo ambazo tayari zimekamilika pia ina mistari ya kipindi ambacho Drake alikuwa kwenye wakati mgumu na daftari hilo linatajwa kuwa na saini halali ya Drake.

Hizi ndio baadhi ya mistari iliyopo kwenye daftari hilo.

Girls lie and you make it evident you affected

Up north / Drake is the president I’m respected

But I’m a liar due to the evidence you collected

From chicks in my crew / to chicks beside you

Cashiers at the drive through / them hoes lie too

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

2 Comments

 1. Aly Chiman

  February 12, 2019 at 10:56 pm

  Hello there,

  My name is Aly and I would like to know if you would have any interest to have your website here at robengo16.com promoted as a resource on our blog alychidesign.com ?

  We are in the midst of updating our broken link resources to include current and up to date resources for our readers. Our resource links are manually approved allowing us to mark a link as a do-follow link as well
  .
  If you may be interested please in being included as a resource on our blog, please let me know.

  Thanks,
  Aly

  • Robert Ngonya

   February 12, 2019 at 11:05 pm

   Hellow Ally, your most welcome to our blog robengo16.com we are ready to share with you please contact us through whatsappchat direct to our menager +255 769 539 455 Thanks!