BURUDANI

Orodha Ya Video 15 Zenye Kutazamwa Mara Nyingi Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Duniani

on

Katika mtandao wa Youtube kumekuwa ni sehemu pekee kwa wasanii kuweka na kutangaza kazi zao, kwa lengo la kuwafikia mashabiki zao duniani kote.

Na katika kila bara kuna wasanii ambao video za nyimbo zao zimetazamwa zaidi kuliko yoyote, mfano Afrika msanii anayoongoza kwa wimbo wake kuwa na watazamaji wengi kuliko wote ni msanii kutoka Nigeria Davido katika wimbo wake wa Fall uliotazamwa na watu milioni 110 na unaofuata ni wimbo wa msanii mwingine kutoka Nigeria Yemi Alade katika wimbo wa John uliotazamwa na watu milioni 100.

Lakini kwa duniani kote wafuatazao ni wasanii na video za nyimbo zao ambao zinaongoza kwa kutazamwa zaidi duniani, ambao ni hawa wafuatao.

15 of the Most Viewed YouTube Videos of all Time:

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

1 Comment

 1. pluck

  February 17, 2019 at 6:05 am

  Witһ havin so mucһ content do you ever run into any
  issues of plаgorism or copyright infringement? My website hɑs a lot of exclusive content I’ve either
  аuthored myself or outsourced but it appears a
  lot of it is popping it up all over the internet without my permission. Do yօu knoѡ any techniques
  to help reduce content from being stolen? І’d really
  appreciate it.