MICHEZO

Club Kubwa Duniani Za Mda Wote Zatajwa Na Jarida La France Footbal

on

Jarida maarufu duniani linalojihusisha na masuala ya michezo la France Football limezitaja klabu 30 duniani ambazo ni kubwa na bora duniani kwa muda wote.Jarida hilo liliweka Poll mtandaoni ambapo watu 143,473 walipiga kura kwenye website yao, na wengine mamilioni wakipiga kura kwenye mitandao ya kijamii.Jarida hilo, ambalo ndio linaandaa tuzo ya Ballon d’Or, limeeleza kuwa licha ya kura zilizopigwa pia limeangalia tuzo za wachezaji ndani ya klabu husika kama kigezo ongezwa.

Hii ndo Orodha ya club kumi bora za mda wote duniani

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you