HABARI ZA MASTAR

Cardi B Awachana Mashabiki Wanao Msema Kuwa Hakustahil Tuzo Ya Grammy ,Afuta Ukurasa Wake Wa Instagram

on

Msanii wa muziki nchini Marekani, Cardi B amejitoa kwenye mtandao wa Instagram hii ni baada ya kushambuliwa na mashabiki wa muziki wakidai kuwa hakustahili kupata tuzo ya Grammy ya album bora ya rap ‘Invasion of Privacy’ kwa mwaka 2018 .

Kabla ya kuifuta akaunti yake, aliweka video ya dakika moja ya kuwachana watu wanaodai kuwa hakustahili tuzo yake kuwa hakustahili kushinda tuzo hiyo.

Akaunti yake ina followers zaidi ya milioni 40, tazama video yake ya mwisho kuposti kwenye ukurasa wake.

“I remember last year when I didn’t win for ‘Bodak Yellow’, everybody was like, ‘Cardi got snubbed, Cardi got snubbed’. Now this year’s a f***ing problem? My album went two-time platinum. And every chart that there was, my album was always top 10. Number one album as well. “

“I f***ing worked my a** off, locked myself in the studio for three months… then went to sleep in my own bed, sometimes for four days straight, pregnant. Some songs couldn’t even get on the f***ing album because my nose was so f***ing stuffy from my pregnancy…,”

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

Leave a Reply