HABARI ZA MASTAR

Wizkid Mtoto wa Bob Marley na Meek Mill, Katika Steji Moja

on

Kupitia matamasha hayo aliyoyaweka katika ukurasa wake wa instagram, Wizkid ataanza na tamasha la ‘The Endes Festival’ litakalofanyika May 31,2019 mpaka June 2,2019ambapo atakuwa akitumbuiza kwenye jukwaa moja na Damian Marley pamoja na Rapper Nas huku list nyingine ikielezwa kutajwa.

Tamasha lingine ambalo Wizkid atatumbuiza ni ‘Amsterdam Urban Pop Music Festival’litakalofanyika June 29,2019 katika uwanja wa Arena Park, Amsterdam na ataungana na rapper Meek Mill, Tory Lane, Lil Baby, Jacques na wengine wengi.

EXTR NEWS:SONGWE YAZINDUNDUA MFUKO WA BIMA MPYA YA JAMII

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you