KIMATAIFA

Wachoma Kanisa Kwa Madai Ya Mapepo Wachafu.

on

WANANCHI wenye hasira kali wanadaiwa kuvamia katika eneo la Kanyogoga Wilaya ya Gulu nchini Uganda na kuchoma Kanisa moja muda mfupi baada ya ibada ya asubuhi, kwa madai kuwa linawaletea pepo wachafu.

Wakaazi wa eneo hilo lililoko Kaskazini mwa nchi hiyo wameeleza kuwa wamekuwa wakichukizwa na mienendo ya ibada ya Kanisa hilo linalofahamika kama ‘Jesus is the Living Stone’ (haijaelezwa ni mienendo gani) ambayo wamedai ni kinyume cha mafundisho ya Yesu Kikristo.

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

Leave a Reply