HABARI ZA MASTAR

Muigizaji Mairi Bongo Irene Paul Amemshaur Mwigizaji Mwenzie,Kajala Masanja Amtoe Mtotowake Paula Mitandaoni

on

Muigizaji mahiri Bongo, Irene Paul amemshauri muigizaji mwenziye, Kajala Masanja, amtoe mtoto wake Paula mitandaoni na kumzuia kabisa kujihusisha na masuala ya mitandao iwe Instagram au Whatsapp kwa muda mpaka pale akili ya mtoto huyo itakapokuwa sawa.

Irene ametoa ushauri huo kwa Kajala kufuatia yanayoendelea mitandaoni hivi sasa ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakimshambulia mtoto huyo kutokana na kutofanya vizuri kwenye mtihani wake wa kidato cha nne.

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Leave a Reply