KITAIFA

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Majaji, Na Wakurugenzi Leo January 28/1/2019 +VIDEO

on

Rais Dkt Magufuli leo Januari 27 amewateua Charles Kabeho kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime na Thomas Abson kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga
Wakati huo huo, Rais Magufuli amewateua majaji 6 wa Mahakama Kuu, kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakimu na wanasheria 15 kuwa Majaji wa Mahakama Kuu.
EXTR NEWS: RAIS MAGUFULI LEO JANUARY 28 AFANYA UTEUZI WA MAJAJI NA WAKURUGENZI

TOA MAONI YAKO HAPA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *