HABARI ZA MASTAR

Diamond Platnumz Anusulika Ndoa Ya Mkeka

on

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na mpenzi wake Tanasha jana usiku Jumapili Januari 27, 2019 wamenusurika ndoa ya mkeka mbele ya Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam , Alhaji Mussa Salum .

Akielezea tukio hilo, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda amesema kuwa yeye ndiye aliyepanga tukio hilo lakini alikosa mkeka.

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

Leave a Reply