HABARI ZA MASTAR

Davido Aweka Rekodi,Ajaza Uwanja wa O2 mjini London Uingereza.

on

Baada ya Wizkid kufanya maajabu ya kujaza Uwanja wa O2 mjini London Uingerezamwezi June 2018 sasa ni Davido kwenye rekodi hiyo nyingine baada ya kujaza watu 20,ooo na kuuza tiketi zote( SOLD OUT).

Davido anashika nafasi ya pili kwa ujumla kuujaza uwanja huo wa O2 baada ya Wizkidna anavunja rekodi ya kuwa msanii wa kwanza mwenye umri mdogo kutokea katika Bara la Afrika kuujaza uwanja huo.

Davido anaungana na wakali wengine kama Rihanna, Kanye West, Adele, Drake Elton John, Celine Dion Britney Spears ambao waliwahi kuujaza uwanja huo.

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

Leave a Reply