HABARI ZA MASTAR

Ben pol Ajulikana Ukweni, Sasa Ndoa Mda Wowote

on

Msanii kutoka nchi Tanzania Ben pol ameamua kuthibitisha mahusinao yao baada ya kuamua kwenda ukweni kwa ajili ya kufanya utambulisho na mpeniz wake anaejulikana kama anerlisa huku nchini uganda,Msanii huyo ambae aliingia katika mahusiano ya kimapezi na mwanamke huyo siku si nyingi zilizopita wameamua kuhararisha mahusiano hayo na kuamua kujitambulisha kwa wazazi hatua ambayo inaleta msukumo wa ndoa.

Ben pol atakuwa mwanamuziki wa kiume anaeongeza idadi ya wasanii wanaokwenda kuoa nje ya nchi na kuacha wasichana wa kitanzania.

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

Leave a Reply