KIMATAIFA

ALGERIA: Watu Watano Wameripotiwa Kufariki Kutokana Na Marufuriko

on

Watu watano waripotiwa kufaariki katika mafuriko yaliotokea katika miji tofauti nchini Algeria.

Miji iliokumbwa na mafuriko baada ya mvua kali kunyesha ni Annaba, Tarif, Tizi Ouzou na Tipaza.

Kitengo cha utabiri wa hali ya hewa nchini Algeria kimefahmisha kwamba mvua kali zitaendelea kunyesha nchini Algeria na kutoa wito kwa raia kuwa waangalifu.

Kutokana na mvua kali hizo zilizosabisha mafuriko, shule zimefungwa katika maeneo tofauti.

 

EXTR NEWS: WAKUU WA MIKOA WAPOKEA MAAGIZO MAZITO

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

Leave a Reply