HABARI ZA MASTAR

Mwili Wa Msani Mkongwe Wanamama Salome(mama abdul) Kuzikwa Leo

on

M aliefariki wikiend hii nyumbani kwake mburahati jijini dar es slaam  unataraijwa kuziki wa leo  baada ya shughuli zote za mazishi kukamilika nyumbani kwake.

Mama Abdul alisifika sana miaka ya nyumba kutokana na kazi zake huko alikoanzia katika tamthili ya mambo hayo akiwa na kina bishanga, lakini sasa hivi jina lake lilizidi kukua baada ya kucheza katika tamthilia ya mwantumu akiwa anaigiza kwa jina la Mwantum Mcharuko.

Mama Abdul amekuwa moja ya wasanii wakongwe waliowalea wasanii wengine waliochipukia na jina lake na kazi zake zitakuwa na mchango mkubwa sana katika tasnia ya sanaa.

TOA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

Leave a Reply