KITAIFA

TANZIA:Mwimbaji Wa Bendi Ya Diamond Music Aaga Dunia!

on

Muimbaji wa bendi ya Mapacha Musica ya Jose Mara, Erick Kantona, amefariki kwa ajali ya gari Dawasco, Tegeta mapema leo asubuhi hii. Kipindi cha nyuma Kantona aliwahi kufanya vizuri na wimbo ‘Mapenzi Kitu Gani’ ambao aliuimba na bendi ya Diamond Music.

TOA MAONI YAKO HAPA

Leave a Reply