HABARI ZA MASTAR

Tazama Mjengo Wa Thamani WA wiz khalifa

on

Inaripotiwa kuwa Rapper Wiz Khalifa amedondosha nyumba ya kifahari iliyopo  Mjini Encino, Los Angeles Marekani yenye thamani ya shilingi Bilioni 8 za Kitanzania.

Mjengo huo unatajwa kuwa na vyumba vitano, swimming pool, chumba cha kuangalizia filamu ( Movie theatre), sakafu na ceiling board ya vioo, sehemu ya vinywaji (bar), camera za ulinzi kila kona, jiko, mabafu sita.

Inasemekana Wiz Khalifa ndio mmiliki wa kwanza kumiliki nyumba yenye vyumba vitano tokea mwaka 1950 baada ya nyumba hiyo kuwepo maeneo ya mbali na eneo hilo hutumika kama hifadhi ya mifugo.

TOA MAONI YAKO HAPA

Leave a Reply