HABARI ZA MASTAR

Msanii Wa Bongo Movie Salome Nonge Afariki Dunia

on

Msanii wa Maigizo, Salome Nonge (Mama Abdul) amefariki dunia.

Mama Abdul alishawahi kuigiza filamu ya kigodoro ‘kantangaze’  iliyoandaliwa na Zamaradi Mketema.

Mtangazaji, Zamaradi kupitia ukurasa wake wa Instagramu ameandika “Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa nonge
“Kwa wasiomfahamu kama uliwahi kuangalia filamu ya kigodoro’kantangaze’ nilibahatika kufanya nae kazi enzi za uhai wake, lakini pia kwa ambao hawajabahatika kuona filamu hiyo unaweza kumuona kupitia tamthilia ya mwantumkwenye stesheni ya Magic Swahili dstvaliandika Zamaradi huku akimalizia hiv; munguamuweke mahala pema peponi Mama Abdul’ Inalillahi wainailaihi Rajiun’

Kwa upande wake mama yake mzazi Monalisa ambaye anajulikana kama Natasha Mamvi ameandika  tanzia rafikiyangu kipenzi.mzazi mwenzangu.mwigizaji mwenzangu Salome nongemama abdul amefariki nipengo ambalo halite zibikakamwe lip mama abdul
Naye Monalisa ameandika,” Mama Abdul Jamani, Pumzika kwa amani tutakukumbuka daima.”

Joti naye ameandika R.I.P Mama Abdull.Mimi mwanao Sina cha kuongea zaidi ya kukuombea upate mwanga wa milele, Pumzika kwa amani mama.”

I

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Leave a Reply