HABARI ZA MASTAR

Queen Darleen Asema Tanasha Ni Mtu Wakawaida Tu’

on

Dada wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ amedaiwa kuwa hana shobo na Mpenzi mpya wa kaka yake Tanasha Donna.

Wiki iliyopita Diamond alimtambulisha Mpenzi Wake Tanasha kwa Familia yake nzima ambapo alikuwepo Mama Yake, Dada yake Esma na Ndugu wengine Lakini Queen Darleen hakuwepo katika tukio hilo.

Gazeti la Ijumaa Wikienda linaripoti kuwa Queen hakuwepo kwenye ‘mnuso’ huo kwa sababu ‘haziivi’ kivile na Tanasha. “Unajua Queen yeye katika wanawake wote wa Diamond, hakuna mwanamke ambaye anamkubali zaidi kama anavyomkubali Zari.

Yeye chaguo lake ni Zari na si mwanamke mwingine. Ndio maana unaona hana taimu na Tanasha, Esma na mama yake wao hawana shida, wanaunga mkono mwanamke yeyote ambaye Mondi atawatambulisha”.

Baada ya tetesi hizo, Gazeti hilo lilimtafuta Queen Darleen ambaye aliulizwa sababu za kutoonekana na wifi yake kama wanafamilia wengine alijibu:
Queen alianza kwa kuhoji kuna ulazima gani kuwepo

Kwani Tanasha ni mtu wa kawaida tu. “.

 

 

TOA MAONI YAKO HAPA

Leave a Reply