KIMATAIFA

Jeshi La Zimbabwe Lawatesa Waandamanaji

on

Tume ya kutetea kutetea haki za binadamu nchini Zimbabwe limewatuhumu maafisa wa usalama kwa kutumia “utaratibu wa mateso” kuzima maaandamano.

Ghasia zilizuka zaidi ya wiki moja iliyopita kufuatia hatua ya serikali ya kuongeza bei ya mafuta.

Msemaji wa serikali ametetea msako huo”Mambo yakiharibika wakati mwingine unahitaji kutumia nguvu kiasi.”

Ripoti zimeibuka kuwa wanajeshi wanadai kuwapiga na kuwaumiza watu katika maeneo tofauti ya mji mkuu wa Harare.

Maafisa walionekana wakipiga kundi kubwa la madereva wa mabasi siku ya Jumanne.

Akizungumza mmoja kati ya wanaume 30 waliyokamatwa na kupigwa na maafisa wa polisii.

”Kuongezeka kwa hali ya ghasia nchini Zimbabwe kumeibua maswali kuhusu uwezo wa rais Emmerson Mnangagwa kudhibiti majeshi yaliyomweka madarakani miezi 14 iliyopita.” aliongeza mwandishi wetu.

Rais Mnangagwa ameahidi kuwa visa vya dhulma dhidi ya wanainchi havitakubaliwa

TOA MAONI YAKO HAPA

Leave a Reply