KITAIFA

Waziri wa Madin Mhe,Dotto Biteko Apewa Onyo na Rais dkt John Pombe Magufuli

on

Rais Dkt John Pombe Magufuli amemuonya Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko kuwa hatasita kumuondoa iwapo atabaini madudu katika wizara hiyo kwa kuwa ni Wizara muhimu sana, inapaswa kutolewa macho muda wote.

Rais Magufuli amemtaka kuwa makini na kuwatumbua watumishi wa wizara hiyo ambao atawaona wanakwamisha shughuli mbalimbali na kupotezea serikali mapato.

Rais Dkt Magufuli akizungumza kwenye Mkutano Maalum WaKisekta amepiga stori moja na kueleza kwamba wakati akiwa Waziri alifukuza wakandarasi 261 kutokana na utendaji mbovu lakini Waziri Mkuu wa wakati huo alisema haiwezekani kuwafukuza kwa sababu tunawahitaji.

“Mimi nilipochaguliwa na Mzee Mkapa kwenda Wizara ya Madini nilifukuza wakandarasi 261. Nilipopeleka majina kwa Waziri Mkuu (Sumaye) akaniambia hatuwezi kuwakufukuza……..Nikapeleka kwa Rais akaniambia saini hapa fukuza”

Rais Magufuli anasema baada ya kuwafukuza Wizara hiyo ilipata mabadiliko chanya kwa kiasi kikubw

TOA MAONI YAKO HAPA

Leave a Reply