BREAKING NEWS

Rasmi Prince Boateng Atambulishwa FC Barcelona, Tazama Mapicha Picha

on

Staa wa kimataifa wa Ghana aliyekuwa anaichezea club ya Sassuolo ya Italia Kelvin Prince Boateng ametambulishwa leo kama mchezaji mpya wa FC Barcelona, Boateng ameenda Barcelona kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.Baada ya kutua FC Barcelona inaelezwa kuwa Boateng atakuwa mbadala wa Munir El Haddadi, staa huyo amejiunga na timu huyo kwa mkopo wenye kipengele cha FC Barcelona kumnunua jumla kama atafanya vizuri mwisho wa msimu, Boateng amecheza club mbalimbali ikiwemo Tottenham, Portsmouth, AC Milan na Schalke 04.

TOA MAONI YAKO HAPA