BREAKING NEWS

Mshambuliaji Mpya Wa Cardiff City Apotelea Angani

on

Mshambuliaji wa Cardiff City inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza, Emiliano Sala ambaye usaji wake ulivunja rekodi ya klabu akitokea Nantes ya Ufaransa. amepotelea angani baada ya Ndege iliyombeba kupotelea angani na rada za nchini England zimeshindwa kutambua ilikoelekea tangu Jana usiku.

Vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kufanya jitihada ya kutambua wapi hasa ndege hiyo ndogo imepotelea taarifa za awali zikieleza pengeni inawezekana imeangukia baharini.Mshambuliaji huyu ni raia wa Argentina ambaye izaliwa miaka 28 iliyopita ambayo ni tarehe 31 October ya mwaka 1990 na alifanikiwa kuchezea klabu tano hadi hivi sasa na alikuwa bao hajacheza hata mchezo mmoja Cardiff.

 

TOA MAONI YAKO HAPA