BURUDANI

Marufuku Msanii Wa Uganda Kuvaa Nguo Fupi Na Kulewa

on

Serikali ya Uganda kupitia Wizara ya Utamaduni na Sanaa imetangaza sheria mpya zenye lengo la kuwabana wasanii, ili kulinda maadili na sanaa kwa ujumla.Sheria hizo ambazo zimetangazwa wiki iliyopita, zinaeleza kuwa msanii yeyote hawezi kwenda nje ya nchi hiyo kutumbuiza bila kibali .

Moja ya sheria mpya, ni kwamba Msanii yeyote wa muziki hatakiwi kupanda jukwaani akiwa amevaa nguo fupi au mlegezo.

Sheria nyingine, msanii hataruhusiwa kupanda jukwaani kutumbuiza akiwa ametumia kinywaji au kilevi chochote.

Mabadiliko hayo pia, yanamtaka kila msanii asajiliwe na haitaruhusiwa wimbo uachiwe bila kukaguliwa na mamlaka husika ya serikali.

TOA MAONI YAKO HAPA

5 Comments

 1. http://freecams.amatricescams.com

  January 30, 2019 at 9:44 pm

  Tһis paragraph will assist tһe internet ᥙsers for creating
  new blog οr eνen a weblog fгom start to end.

 2. inhouse

  March 9, 2019 at 5:32 am

  Ⲛormally Ӏ ⅾon’t learn article onn blogs, Ьut I wіsh to
  say tһat thiѕ write-uρ very forced me to take a look at and do іt!
  Your writing taste has bee surprised me. Ꭲhanks, qսite grat post.

  • Robert Ngonya

   March 9, 2019 at 6:53 am

   THANK YOU FOR BEING INTERESTING READ OUR ARTICLE YOUR WELCOME AGAIN!

 3. Reviews

  March 9, 2019 at 7:28 pm

  Hey! I’mat work browsing your blog from my new iphone 3gs!
  Juust ԝanted tߋ say I love reading thrߋugh your blog аnd loоk forwartd to alⅼ your posts!

  Carry on the outstanding ԝork!

  • Robert Ngonya

   March 9, 2019 at 7:35 pm

   I get you !Lol ua most welcome

Leave a Reply