BURUDANI

GOOD NEWS:Elizabeth Michael “LULU” Kuja Na Filamu Mpya Tangu Atoke Jela

on

Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ yuko chimbo kutengeneza filamu mpya, kwa mujibu wa Majizzo ambae ni Mume wake mtarajiwa ameweka picha hii na kuandika maneno ambayo yanaonyesha Lulu amerudi mzigoni.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Majizzo amepost picha ya Lulu na kuandika “amerudi kazini”. Inawezekana filamu hii mpya ikawa ndio ya kwanza kuachiwa akiwa bado anatumikia kifungo chake cha nje.

ADD YOUR COMMENTS