Club Ya Yanga Yafikia Hapa.....Mambo Matano Yaliyo Jadiliwa Haya Hapa! - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

MICHEZO

Club Ya Yanga Yafikia Hapa…..Mambo Matano Yaliyo Jadiliwa Haya Hapa!

on

MICHEZOClub ya Dar es Salaam Young Africans leo Jumapili ya June 10 2018 ilifanya mkutano mkuu na wanachama wake katika ukumbi wa Police Officers Mess Masaki Dar es Salaam na kujadili mambo mbalimbali kuhusiana na club yao.

Yanga wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo kuafiki kwa pamoja club yao kuingia katika mfumo wa mabadiliko ila wamepinga na kukataa barua ya mwenyekiti wao Yussuf Manji ya kuomba kujiuzulu nafasi yake hiyo ndani ya Yanga.

VIDEO:BONYEZA KITUFE CHA PLAY BATANI KUITAZAMA VIDO HII USISAHAU KUTUACHIA MAONI YAKO HAPA CHINI

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login