Haya Hapa Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano 2018/2019 - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

ELIMU

Haya Hapa Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano 2018/2019

on

Jumla ya Wanafunzi 70,904 waliohitimu kidato cha nne mwaka jana wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ufundi na vya elimu ya kati kwa mwaka 2018, huku wengine 21,808 waliokuwa na sifa za kuchaguliwa wakiachwa.
Orodha Yote ya Majina iko hapo chini
ZINGATIA:  Server iko bize kidogo, endelea kurefresh kama itakuwa inagoma kufunguka

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login