BURUDANI

Ni Gumzo…… Mahusiano Ya Rapper 2 Chainz!

on

Rapper wakutoka nchini Marekani 2 Chainz hivi karibuni akiwa kwenye Ukumbi wa Met Gala, kulipokuwa na maonesho ya mitindo baada ya kumvisha pete ya dhahabu mkewe, Kesha Ward.

2 Chainz na Kesha wameoana kuanzia mwaka 2013 na wamebahatika kupata watoto watatu na maisha yao ya kimapenzi yamekuwa kivutio hasa kwa mashabiki wao.

Baada ya tukio hilo la 2 Chainz kumvalisha pete ya dhahabu mkewe huku akiwa amepiga goti moja chini, mashabiki wengi walikomenti kwenye mitandao ya kijamii kuwapongeza na hasa kwa kuwa kwenye ndoa ambayo haina skendo za kuwadh-aririsha.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login