BannerFans.com

BURUDANI

Sababu Ya Corazon Kuchafuka Mtandaoni!

on

MWANAMITINDO mwenye shepu ‘tata’ Corazon Kwamboka amechafuka mtandaoni mara baada ya kutupia picha ya nusu utupu akiwa na Mzungu anayedaiwa kuwa ni mchumba wake.

Corazon ambaye pia ni mwanasheria nchini Kenya, aliweka picha hiyo ikimuonesha akiwa kifua wazi na Mzungu huyo huku akiwa ameshikiliwa kifua chake.“Mwendo wa ufukweni,” aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Kutokana na picha hiyo, Corazon alipokea matusi mfululizo huku wengine wakimsema vibaya Mzungu wake kwa kitendo cha kumshikilia vibaya kifuani tena hadharani.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login