VIDEOS:Klabu Ya Arsenal Sasa Yamtangaza Mbadala Wa Arsene Wenger - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

MICHEZO

VIDEOS:Klabu Ya Arsenal Sasa Yamtangaza Mbadala Wa Arsene Wenger

on

Kocha Unai Emery wa Sevila amethibitishwa kuwa Kocha mpya wa Arsenal baada ya tetesi zilizoenea kwa zaidi ya saa 24 zilizopita.Akizungumza baada ya kutambulishwa Unai alisema; “Nimefurahi sana kujiunga na klabu kubwa kwenye soka. Arsenal inajulikana na inapendwa sana duniani kutokana na staili yake ya mchezo.

VIDEO:KOCHA HUYO AKIWASIRI KATIKA KLABU YA ARSENAL MUDA SI MREFU UNAI EMERY

🔴 Welcome to #Arsenal, Unai . . #WelcomeUnai #WeAreTheArsenal

A post shared by Arsenal Official (@arsenal) on

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login