AFYA

Unatamani Kuwa Na Ngozi Nzuri……. Siri Hii Hapa !

on

LEO kwenye ukurasa huu tutaona jinsi unavyoweza kuipata ngozi nzuri kwa kutumia chungwa.

Kama wewe una ngozi ya mafuta nakushauri kutumia juisi ya chungwa kupaka usoni kila siku usiku kisha lala.

Juisi hiyo inaondoa mafuta yote usoni na itaifanya ngozi yako kuwa huru na kufungua vijidundu vilivyoziba ambavyo vinapitisha hewa. Ukiamka asubuhi osha uso wako kwa maji masafi ya baridi yanasaidia kwa kiasi kikubwa kuichangamsha ngozi ambayo itakuwa imevutwa kwa juisi kwani juisi hiyo huivuta ngozi ili kuondoa mafuta mafuta.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login