BURUDANI

Chris Brown Alivyoguswa Na Mlemavu..Hiki Hapa Alichosema!

on

Staa wa muziki kutokea Marekani Chris Brown anayetamba na Album yake ya Heartbreak on a Full Moon ametumia ukurasa wake wa instagram kuonyesha jinsi gani alivyofurahishwa na kipaji cha mtoto mwenye ulemavu wa miguu kucheza bila uwoga na kujiamini kwa kile ambacho anafanya bila kujali kuwa ni mlemavu.

Chris Brown ameandika “Ndoto zako haziwezi kurudi nyuma kwasababu ya ulemavu hapa duniani, yote ni akili tu, huyu mtoto amenipa matumaini kwa watu”

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login