BURUDANI

Alichokiandika Chriss Brown Baada Ya Karruche Kuweka Wazi Mahusiano Yake!

on

Msanii wa kutoka nchini Marekani kwa Trump Chriss Brown ameshangaza watu wengi baada ya kuachia ujumbe katika picha ya X-girlfiend wake wa zamani Karrche akiwa na mpenzi wake mpya

Hii marachache kwa wanaue wengi kukuali hali ya mahusiano mapya ya wapezi wao mara baada ya kutengana, lakini imeonyesha si shida kwa star huyo Chriss kwa Karruche

Baada ya post hiyo katika moja ya mitandao maarufu kuweka picha hizo chriss aliandika hivi “GOALS”

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login