Dongo La Mrs. Roma Kwa Stamina............Uko Serious! - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

BURUDANI

Dongo La Mrs. Roma Kwa Stamina…………Uko Serious!

on

Mwana-hiphop Stamina anatarajia kufunga ndoa May 5,2018 ambapo April 27,2018 ilifanyika send off ya mke wake mtarajiwa mjini Morogoro ambapo moja ya mastaa waliohudhuria send off hiyo ni pamoja na rafiki yake wa karibu Roma Mkatoliki pamoja na mke wake Nancy.

Ila kupitia ukurasa wa instagram wa mke wa Roma amezua gumzo baada ya kumuuliza swali Stamina kama yupo tayari kufanya maamuzi anayokaribia kuyafanya ya kufunga ndoa maana wengi waliopo ndani ya ndoa wanatamani kutoka.

“Hivi uko serious au unajaribu? Wale wenye ndoa zao wanataka kuachana kesho!! Huku wapendanao wanataka kuoana kesho!! Hivi uko serious au unajaribu?? @staminashorwebwenzi”

aliandika mrs. Roma.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login