BURUDANI

Rapper Wa Nchini Uingereza Ajitupa Baharini Na Kupotea

on

Mwanamuziki wa Rap kutoka London Uingereza Kenny Mukendi maarufu kama Kenny Vulcan mwenye umri wa miaka 20 anaripotiwa kupotea akiwa Rio de Janeiro Brazil na anahisiwa kujirusha baharini mwenyewe.

Rapper huyo aliripotiwa kupotea April 13, 2018 baada ya kumwambia mpenzi wake kwa njia ya simu kwamba yuko njiani kutoka studio moja ya muziki na anarudi nyumbani.

Polisi wameeleza kuwa begi lake, wallet, simu pamoja na passort yake ya kusafiria viliokotwa na wachezaji wa majini (surfers) siku moja baada ya yeye kupotea. Uchunguzi umeonesha uwezekano mkubwa wa rapper huyo kuamua kujirusha mwenyewe baharini.
Kenny akichati kwa mara ya mwisho kabla ya kupotea,

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login