MICHEZO

Martial Aigomea Manchester United………….Hataki Tena Nini Sababu, Soma Hapa!

on

Mshambuliaji wa Man United ya England Anthony Martial anayewindwa na vilabu vya FC Bayern Munich ya Ujerumani na Juventus ya Italia leo ameripotiwa kugoma kuongeza mkataba na Man United.

Anthony Martial ameripotiwa kugoma kusaini mkataba mpya wa miaka mitano wa kuendelea kuitumikia Man United kwa madai ya kukosa nafasi ya kucheza, hivyo ameshinikiza auzwe ili akapate nafasi ya kucheza.

 

Maamuzi hayo ya Martial yamezidisha kasi na matumaini kwa vilabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, Inter Milan na Juventus za Italia ambazo zina lengo la dhati la kuhitaji huduma ya nyota huyo anayekosa namba Man United.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login