KITAIFA

Lowassa Atinga Mahakamani Kusikiliza Kesi Ya Wenzake,Freeman Mbowe (PICHA 2)

on

Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  wameshafikishwa Mahakama ya Kisutu tangu saa mbili asubuhi.
Wanachama na viongozi wa Chadema wamekusanyika  ndani na nje ya viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusubiri hatima ya dhamana ya viongozi hao

Viongozi hao, Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe na wenzake watano wanatarajiwa kuachiwa  kwa dhamana leo iwapo watatimiza masharti ya dhamana.
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa  tayari yuko mahakaman kufatilia kesi hiyo ya mwenyekiti wa chama chake

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login