KITAIFA

Peter Msigwa Aapa Kujiuzuru Ubunge………Hii Hapa Sababu Yake!

on

Kumekuwa na skendo kubwa kwa jiji la Dar es salaam kua wanawake wengi kutelekezewa watoto lakini pia kuna wimbi kubwa la watoto walio telekezwa na wazazi wao wa kiume katika jiji la Dar es salaam.

Mhe. Paul Makonda aliamua kuwaita wananwake wote ambao walitelekezewa watoto na wanaume wao ndipo kumeonekana kuwa kuna baadhi ya viongozi wakubwa wa kiserikali kuwatelekeza wanao bila msaada wowote.

Lakini jambo hilo halikumshitua mbunge wa Iringa Peter Msigwa Baada ya kuonena naye yumo katika orodha ya waliotelekeza watoto, kupitia mtandao wa Instagram Mhe. Msigwa aliandika kuwa “Kuna propaganda za makusudi kujaribu kunichafua kuwa nimetelekeza mtoto Dar. Kama huyo mama amabaye jina lake limehifadhiwa namataka ajitokeze pamoja na mtoto nilyemtelekeza. Kwa sasa nipo Dodoma bungeni; anaweza kunipata kupitia spika wa bunge au katibu wa bunge au kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni. namba yangu ya simu ni 0788558888. Kama ikithibitika kuna mtoto nimemtelekeza nitajiuzu ubunge. Peter Msigwa the MP for iringa”

ADD YOUR COMMENTS