KITAIFA

Halima Mdee Afikishwa Mahakamani……Kitakachojiri Hiki Hapa (PICHA 3)

on

  Mbunge wa Kawe Halima Mdee leo April 3, 2018 amefikiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mbunge huyo anadaiwa kukamatwa juzi na polisi eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Mdee alikamatwa kwa makosa ya kuandamana yanayomkabili na viongozi wenzake wa CHADEMA watano akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.

ADD YOUR COMMENTS