KITAIFA

Mbunge wa Manyara “Dkt. Mary Nagu” Ahojiwa na Polisi kwa Amri ya DC wa Wilaya

on

HANANG, MANYARA: Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Mary Nagu amehojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi kwa amri ya DC wa Wilaya hiyo, Sara Ali

Mbunge Nagu amehojiwa kwa kile kinachodaiwa kukaidi amri halali ya DC ya kuzuia mikutano ya Mbunge. Inadaiwa Mbunge Mary Nagu na Mwenyekiti wa CCM Wilaya Methew Darema wamewekwa ndani kwa masaa 48

Hii ni mara ya pili, mara ya kwanza DC huyo aliwahi kuwapeleka Polisi Katibu wa CCM Wilaya na Mbunge wake kwa madai eti walifanya fujo ktk Kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login