BURUDANI

Rose Muhando Aja na Albamu Mpya….Mashabiki Kaaeni Mkao wa Burudani!

on

Muimbaji wa gospel Rose Muhando wote tunafahamu kuwa alikuwa kimya kwa zaidi ya miaka mitano sasa bila ya kutoa album yoyote tofauti na miaka ya nyuma, kitu ambacho kilipelekea mashabiki wake kumiss album ya nyimbo zake sokoni baada ya kimya hicho.

Leo limetajwa jina la Album mpya ya Rose Muhando ambayo itafanyiwa uzinduzi katika sikuku ya Pasaka April 1 2018 katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na April 2 2018 Simiyu, Album mpya ya Rose Muhando inaitwa “Usivunjike Moyo” na itakuwa na nyimbo saba.

ADD YOUR COMMENTS