BannerFans.com

KITAIFA

Watu Sita Wameripotiwa Kufariki Nchini Nigeria Baada Ya Mashua Kuzama

on

Mashua mbili za abiria zimezama na kusababisha vifo vya watu 6 huku wengine 12 wakiwa hawajulikani walipo.

Kwa mujibu wa kituo cha habari cha NAN cha Nigeria, Mashua hizo zilibeba watu 78. Mpaka sasa ni abiria 60 wameokolewa salama, huku juhudi za kuwatafuta waliopotea zinaendela.

Gavana Mkuu wa Kebbe, Abubakar Dakingari amesema kuwa ajali hiyo imetokana na ubebaji wa abiria na bidhaa kuzidi uwezo wa Mashua hizo.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login