BannerFans.com

MICHEZO

Timu Ya Taifa Morroco Yatwaa Kombe La Afrika Mbele Ya Nigeria

on

Morocco imetwaa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa ligi za Ndani (CHAN), kwa mwaka 2018 baada ya kuibuka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa fainali uliopigwa katika dimba la Stade Mohamed V Mjini Casablanca, Morocco.

Morocco imeweka historia kwa kuwa timu ya kwanza kuandaa na kushinda michuano hiyo ambayo imefanyika kwa mara ya 5 toka kuanzishwa kwake mwaka 2009 ikiwa inafanyika kila baada ya miaka miwili

Timu nyingine zilizowahi kushinda michuano hiyo ni DR Congo(2009 na 2016), Tunisia(2011) na Libya(2014)

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login