BannerFans.com

KITAIFA

Rais Magufuli Awatunuku Kamisheni Maafisa Wapya 192 Wa JWTZ (+PICHA 4)

on

Leo Febrary 3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewatunuku Kamisheni Maofisa wapya 192 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi JWTZ pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login