BURUDANI

AY Afunga Ndoa Na Mwandani Wake Huko Nchini Rwanda

on

Stori inayotrend hivi sasa ni kwamba Rapper Ambwene Yessayah maarufu kama AY amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Remy.

Wawili hao wamefunga ndoa leo nchini Rwanda ambako ndipo anatokea Remy. Bado AY au watu wake wa karibu hawajaposti katika mitandao ya kijamii kuelezea hilo.

July mwaka jana, 2017 ndipo AY alimvisha pete ya uchumba Remy na tukio hilo ilihudhuriwa na watu wa karibu wa wawili hao.

Siku Ay alipomvisha pete mwandani wake mwakajana

ADD YOUR COMMENTS