KIMATAIFA

Mtuhumiwa Wa Kifo Cha Msanii Mowzey Radio Akamatwa Na Jeshi La Polisi

on

Polisi wa Mji wa Katwe Uganda, wamemkamata kijana Godfrey Wamala ambaye ametajwa kuwa mmoja wanaotuhumiwa kuhusika na shambulio la mwili lilopelekea kifo cha msanii Mowzey Radio.

Wamala mwenye umri wa miaka 28 alikamatwa katika eneo la Kyengera alipokuwa amejificha kwa siku kadhaa nyumbani kwa rafiki yake. Wamala amehamishiwa mjini Entebbe ambapo Polisi wamesema watamfungulia mashtaka ya mauaji.

ADD YOUR COMMENTS