Ynaga Watuma Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Athmani Juma Chama ‘Jogoo ‘ - OFFICIAL ROBENGO BLOG
BannerFans.com

MICHEZO

Ynaga Watuma Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Athmani Juma Chama ‘Jogoo ‘

on

Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Mkwasa ametuma salama za rambirambi kwa familia ya marehemu Athmani Juma Chama ‘Jogoo ‘ kufuatia kifo cha nyota huyo wa zamani wa Yanga kilichotokea katika hospital ya Muhimbili Jana usiku.

Nawaomba wana yanga wote tuungane kwa pamoja na familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu” Chama alikuwa mchezaji mahiri wa Yanga na alifanya mengi mazuri kwa timu na Taifa enzi za uhai wake”– Mkwasa.

ADD YOUR COMMENTS

You must be logged in to post a comment Login